Form four results 2025 – Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato cha nne
Matokeo ya kidato cha NNE (form four) hutangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kila mwaka. Ili kuangalia matokeo haya, unaweza kutembelea tovuti rasmi ya NECTA au kutumia njia za mtandao zinazotolewa na shule au mamlaka husika. Contents1 Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha NNE 2024/2025:2 Matokeo ya Mwaka wa Kwanza, Pili na…