Share this post on:
Advertisements
Ad 1

OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE
Kumb. Na. BDC/E.40/7/95 23 JUNI, 2025
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe amepokea kibali cha Ajira mpya
kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 cha
tarehe 29.04.2025. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma
maombi kwa kada Tatu (03) kama zilivyoainishwa kwa kuzingatia sifa tajwa: –

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Need Help?
Slide Up
x
Advertisements
Ad 1