Share this post on:
Advertisements
Ad 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA
SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI
24/06/2025
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025.Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo.

Share this post on:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Need Help?
Slide Up
x
Advertisements
Ad 1