Matokeo ya NECTA, – Page 2 – ajiraportal.online

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Latangaza Matokeo ya Darasa la Nne na Kidato cha Pili

Dar es Salaam: Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa kwa mwaka 2024 kwa darasa la nne na kidato cha pili. Taarifa hizi zilitangazwa Januari 4, 2025, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohamed, mbele ya waandishi wa habari. Kwa mujibu wa takwimu, jumla ya wanafunzi 1,530,805…

Read More
Need Help?