
FERRARI GOLD 522.5 EC
Wadudu wanaweza kusababisha hasara kubwa katika mazao, hasa kwa mimea michanga, kwa kula majani yote na kuathiri afya na uzalishaji wa mimea. FERRARI GOLD 522.5 EC ni dawa yenye nguvu ya kuua wadudu inayodhibiti kwa ufanisi wadudu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wadudu wanaofyonza,wanaotafuna,wanaokata,mdudu mafuta,Nzi weupe. Ufanisi wake wa ndani unahakikisha ulinzi kupitia mmea mzima,…