AJIRA SERIKALINI UTUMISHI – ajiraportal.online

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA ZA UALIMU WA MASOMO YA AMALI NA BIASHARA 10-01-2025

Kumb.Na.JA.9/259/01/B/120 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapendakuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanziatarehe 17-01-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama…

Read More

Call for interview – KUITWA KWENYE USAILI (INTERVIEW) KWA AJILI YA POSTI ZA UMMA

TANGAZO Kuitwa kwenye Usaili mwezi wa kwanza ( call for interview January) Kuitwa kwenye Usaili mwezi wa Pili ( call for interview February) Kuitwa kwenye Usaili mwezi wa wa tatu ( call for interview March) KUITWA KWENYE USAILI (INTERVIEW) KWA AJILI YA POSTI ZA UMMA Ofisi ya Utumishi wa Umma inapenda kutoa taarifa kwa waombaji…

Read More

Ajira portal news today – Habari mpya kutoka Ajira portal leo

Ajira Mpya Zilizotangazwa Ajira Portal leo Leo, tumepewa furaha ya kutangaza nafasi mpya za ajira kupitia Ajira Portal, jukwaa linalotumiwa na serikali ya Tanzania na wadau mbalimbali katika kufanikisha ushirikiano wa ajira nchini. Witakua ni fursa muhimu kwa vijana na watanzania wengine wanaotafuta ajira ili kuweza kumudu maisha yao na kuchangia katika maendeleo ya nchi….

Read More
Need Help?