Wadudu wanaweza kusababisha hasara kubwa katika mazao, hasa kwa mimea michanga, kwa kula majani yote na kuathiri afya na uzalishaji wa mimea.
FERRARI GOLD 522.5 EC ni dawa yenye nguvu ya kuua wadudu inayodhibiti kwa ufanisi wadudu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wadudu wanaofyonza,wanaotafuna,wanaokata,mdudu mafuta,Nzi weupe. Ufanisi wake wa ndani unahakikisha ulinzi kupitia mmea mzima, ukiwalenga wadudu wanapokula.
Contents
Kiwango cha Matumizi: 1L/ha (20ml/20 lita za maji)
Viambato Aktif:
- Chlorpyrifos 475g/L
- Cypermethrin 47.5g/L
Pakiti Zinazopatikana:
- Lita 1
- 250ml
- 100ml
- 50ml
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kwa:
Simu: +255735013826 / +255735013827
Barua Pepe: office@agribasegroup.com
Tovuti: www.agribasegroup.com
Kilimo: Utamaduni Wetu
Inachochewa na binadamu, inasababishwa na sayansi.
Slide Up